TeEnsRocKs
IS FoR U.. About Teens Fashion,Lifestyle,Entertainment etc. WeLcOmE To mY wOrLd!!
Saturday, October 29, 2011
Thursday, September 29, 2011
USIKUBALI KUPANIC
Usikubali kupanic hasa katika nyakati hizi za mitihani!!unaweza kupanic kwa kushindwa jambo,usikubali kupanic,tulia fikiria kwa makini na tuliza kichwa chako na jibu utap
ata na ukipanic na unaweza ukawa na hasira pamoja uchungu tuliza moyo,jaribu kusikilizia utapata mafanikio na pia hata unafikia hatua kulia lakini kaza moyo
Na pia unaweza ukadhani una mkosi hapana huo sio mkosi bali huitwa changamoto so jaribu kukubali hali ya challenge ili uweze kufikia malengo kwa sababu unanopanic huwa hukubali challenge
Jaribu kurelax na hata ukikosa ujue kwamba MUNGU hajakupangia huko na kuna mahali kakupangia au ana makusudi yake laikini pia kwa uwezo wake atakupa!!VUTA SUBIRA,,UTAFANIKIWA!!!!!!!!
tchaoooooo kwako wewe na mimi,karibu katika blog yetu
Friday, July 8, 2011
HELLOW!! WELCOME
Subscribe to:
Comments (Atom)


